Podcasts by Category

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

190 - Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru
0:00 / 0:00
1x
  • 190 - Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru

    Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.

    Sat, 27 Apr 2024
  • 189 - Zanzibar: Fahamu zaidi kuhusu Muziki wa Baibuda katika makala haya

    Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na msani wa muziki huu wa Baibuda 

    Sat, 13 Apr 2024
  • 188 - Afrobongo na Bruce Africa

    Makala haya hukuletea historia ya sanaa na wasani barani Afrika.

    Sat, 06 Apr 2024
  • 187 - Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na Sam Silver

    Sam Silver  anazungumza naye Steve Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii.

    Sat, 30 Mar 2024
  • 186 - Muziki wa Taarab na chid boy mpiga kinanda wa bendi ya nakshi nakshi

    Muziki wa Taarab unashehenezwa na mirindimo ya vyombo kwa kisasa sambamba na Kinanda , Kutana na Chid Boy Mpiga kinanda wa Bendi ya Nakshi Nakshi na Mmiliki wa Bendi hiyo.

    Sat, 16 Mar 2024
Show More Episodes