Podcasts by Category

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika
0:00 / 0:00
1x
  • 162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika

    Kulingana na jumuiya ya IGAD,  zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa  katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.

    Mon, 29 Apr 2024
  • 161 - Ukulima wa baharini pwani ya Kenya
    Tue, 23 Apr 2024
  • 160 - Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asili
    Tue, 16 Apr 2024
  • 159 - Kenya: Upanzi wa mimea yenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
    Mon, 15 Apr 2024
  • 158 - Tamasha la mazingira liliandaliwa jijini GOMA nchini DRC
    Tue, 02 Apr 2024
Show More Episodes